Teknolojia Kwa Wote

#PamojaDaima, #TogetherForever, #SwailinuxMicrosystems

UVUMBUZI

Tumejitoza jukumu ya kuvumbua proramu za simu na tarakilisi zinazokusudia kusuluisha matatizo ya nayokumba bara la Afrika.

MIUNDO

Tumejumuika kutoa miundo au rasimu zinazoweza kuiwa kutenenza proramu, au kuelezea mtiririko wa matukio.

UWAZI

Miradi nyingi za Swahilinux zinatumia leseni za mfumo wazi, kama vile Leseni ya Umma ya GNU (GNU-GPL) na nyininezo.

Pata Huduma

Hivi karibuni itakuwa raisi kupata huduma zifuatazo kutoka kwa jamii wazi ya Swahilinux. Jamii ya Swailinux imejawa na mabinwa na wabunifu wanaotumia teknolojia kubadili maisha ya waafrika kila uchao

LINUX

Tunatumia nguzo salama na dhabiti ili kutengeneza mifumo.

UJANIBISHAJI

Tafsiri za teknolojia kwa lugha za kiafrika k.v Kiswahili na lugha zingine za kiafrika.

UTAFITI

Swahilinux imejitolea kufanya utafiti na kuuweka wazi kwa matumizi ya umma, wavumbuzi na wabunifu

USALAMA

Mifumo ambazo zinatengenezwa na Swahilinux zinazingatia usalama na ubinafsi wako kama mtumizi

KUHUSU SWAHILINUX

UVUMBUZI

Swahilinux ilianzishwa mwaka wa 2019 huku ikiwa na lengo kuu la kutengeneza Mfumo wa Tarakilisha ambao utakaotumia lugha ya Kiswahili katika hali msingi. Mwaka wa elfu 2020 Swahilinux imebadili nia na kufanya lengo hilo uwa moja ya miradi ya Swahilinux.

TEMBO GNU/LINUX

Mradi mkubwa zaidi wa Swahilinux inayoshugulika na uvumbuzi wa mtandao unaotumia lugha za Kiafrika huku Kiswahili kikiwa lugha ya hali msingi.

UCHUMI WA SCOIN

Hii ni mradi inayowania kutengeneza uchumi wa kidijitali ambayo inawezesha wawekezaji kujikuza kimaisha na kibiashara kidijitali.

TEMBO MOJA

Mradi unaolenga kufanya mfumo wa Tembo GNU/Linux kutumia nguzo aina tofauti za Linux.

BUNI LINUX

Mradi unaolenga utengenezaji wa zana bunifu za uvumbuzi za mifumo ya Linux

USHIRIKIANO

UMOJA NI NGUVU

swahilinux ni jamii yenye imani ya falsafa hii. Swahilinux imejitolea na iko tayari kuungana na mtu yeyote, chama au kundi lolote lenye lengo sawia ya kuimarisha maisha ya waafrika kwa kutumia teknolojia.

Maonyesho Ya Picha

Pata taswira kamili ya miradi zetu hapa Swahilinux. 

Jiunge Nasi! Haitachukua muda mrefu

TAARIFA

Pata taarifa kuhusu swailinux na teknolojia kwa ujumla kwenye blogu yetu katika lugha unayojivunia na kuifurahia. Taarifa zetu haziegemei upande wowote au kuwatangazia bidhaa ili kupata faida. Taarifa zetu ziko apa kusaidia ukuzaji wa teknolojia kwa njia ya Kiafrika

Wasiliana Nasi

Unaweza ukawasiliana nasi kwa kujaza fomu hii. Baada ya kupata Ujumbe wako tutawasiliana nawe. Asante.